Home Dauda TV VIDEO NA MATOKEO YA TIMU YA MBWANA SAMATTA MCHEZO WA KOMBE LA...

VIDEO NA MATOKEO YA TIMU YA MBWANA SAMATTA MCHEZO WA KOMBE LA LIGI

7703
0
SHARE

Genk  2

February 2, 2016 timu ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Samatta KRC Genk ilicheza dhidi ya Standard de Liege ikiwa ni michuano ya kombe la ligi la Ubelgiji (Belgian Cup) mchezo ambao ulimalizika kwa sare ya kufungana kwa goli 1-1.

Matokeo hayo yanaifanya Genk kuaga mashindano kwa wastani wa magoli 3-1 baada ya ku[poteza mchezo wa awali kwa magoli 2-0.

kwa mujibu wa Jamal Kisongo manager wa Samatta amesema ‘Popa’ hakuwa sehemu ya kikosi hicho kwasababu bado hajakamilisha vibali vya kufanya kazi kimataifa lakini mabo yote yanakwenda sawa na mwisho wa juma hili atakuwa atayari anaweza kucheza kama mwalimu atahitaji kumtumia.

Video ya magoli yote ya KRC Genk vs Standard de Liege

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here