Home Dauda TV KAMA HUKUONA GOLI TAMU LA VARDY LICHEKI HAPA KUPITIA DAUDA TV

KAMA HUKUONA GOLI TAMU LA VARDY LICHEKI HAPA KUPITIA DAUDA TV

676
0
SHARE

Jamie Vardy

Jana usiku yalifungwa magoli mawili ya hatari sana kwenye Premier League, goli la pili la Manchester United lililofungwa na Anthony Martial pamoja na lile la Jamie Vardy ambalo alifunga dhidi ya Liverpool na kuifanya Liverpool kushindwa kutamba mbele ya Leicester City.

But, once again, it was Leicester and Jamie Vardy that stole the show.

Vardy jana alizima ndoto za vijana wa Klopp kuendeleza ushindi baada kujikuta wakikandamizwa kwa bao 2-0 wakiwa ugenini kwenye dimba la King Power huku Vady akifunga biashara kwa upande wa Leicester.

Goli la kwanza la Vardy lilikuwa na ladha ya aina yake kutokana na namna lilivyofungwa huku Dejan Lovren akimtazama mfungaji wa bao hilo asijue cha kufanya.

Bao mbili alizopiga Vardy dhidi ya Liverpool imemfanya aonoze kwenye orodha ya wafungaji wanaowania kiatu cha dhahabu msimu huu akifikisha magoli 16 akifuatiwa kwa karibu na Romelu Lukaku wa Everton mwenye magoli 15.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here