Home Kimataifa PICHA: SAMATTA ATAMBULISHWA RASMI GENK

PICHA: SAMATTA ATAMBULISHWA RASMI GENK

1031
0
SHARE
Samatta amepewa jezji yenye namba 77 mgongoni
Samatta amepewa jezji yenye namba 77 mgongoni
Samatta amepewa jezji yenye namba 77 mgongoni

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na mchezaji bora wa ndani wa Afrika Mbwana Samatta leo ametambulishwa rasmi na ameshakabidhiwa jezi na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji kwa ajili ya kuanza majumu mapya ya kutupia wavuni akiwa na klabu hiyo.

Mbwana Samatta akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari
Mbwana Samatta akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari

Kwa mujibu wa mtandao wa klabu ya Genk, Samatta amesaini mkataba unaomalizika msimu wa mwaka 2019-2020.

IMG-20160129-WA0035

Samatta amejiunga na Genk akitokea TP Mazembe ambapo alicheza kwa miaka mitano (5) tangu mwaka 2011 alipojiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Simba SC hadi mwaka 2015.

Samatta akiwa kwenye press conference akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo
Samatta akiwa kwenye press conference akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na klabu ya Genk

Mkataba wa Samatta na Mazembe ulikuwa unamalizika mwezi April mwaka huu lakini tayari amesaini mkaba mpya na klabu hiyo ya barani Ulaya.

Samatta kwenye picha ya pamoja na moja ya viongozi wa Genk
Samatta kwenye picha ya pamoja na moja ya viongozi wa Genk

Angalia picha zaidi za Samatta wakati akitambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari.IMG-20160129-WA0029

Samatta kwenye picha ya pamoja na moja ya viongozi wa Genk
Samatta kwenye picha ya pamoja na moja ya viongozi wa Genk
Viongozi wa klabu ya Genk wakimkabidhi Samatta jezi ya klabu hiyo tayari kwa majukumu mapya
Viongozi wa klabu ya Genk wakimkabidhi Samatta jezi ya klabu hiyo tayari kwa majukumu mapya
Samatta akiwa kwenye press conference akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo
Samatta akiwa kwenye press conference akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu ajiunge na klabu hiyo

IMG-20160129-WA0035

Picha ya X-ray inayoonesha mguu wa Samatta wakati akifanyiwa vipimo na kufanikiwa kufaulu vizuri
Picha ya X-ray inayoonesha mguu wa kushoto wa Samatta wakati akifanyiwa vipimo na kufanikiwa kufaulu vizuri

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here