Home Dauda TV GOLI LA DOGO WA CHELSEA LAMUWEKA KWENYE REKODI YA WAKONGWE

GOLI LA DOGO WA CHELSEA LAMUWEKA KWENYE REKODI YA WAKONGWE

906
0
SHARE

Chelsea U21

Kinda wa Chelsea ameingia kwenye vichwa vya habari Ulaya baada ya kutupia kambani bonge la goli kwenye mechi ya U21 kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham.

Chelsea U21  b

Ola Aina alifunga goli akiwa kwenye nusu ya uwanja kwa kuachia shuti kali ambalo lilimshinda golikipa wa Spurs na kutinga wavuni moja kwa moja.

Chelsea U21 c

Kabla ya goli hilo, Chelea ilikuwa mbele kwa magoli 2-0 na goli hilo likaendelea kuiweka mbele Chelsea kwa magoli 3-0 kwenye mchezo huo.

Goli hilo limemfanya Ola Aina ameingia kwenye orodha ya mastar wengine kama David Beckham na Xabi Alonso ambao wamewahi kufunga magoli kama hayo siku za nyuma.

Chelsea U 21 a

Unaweza kujiuliza maswali mengi kwamba ilikuwaje golikipa akafungwa goli kama hilo, lakini ni vizuri uangalie mwenye namna ambavyo dogo aiingia kwenye rekodi ya wakongwe wa soka duniani.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here