Home Ligi EPL STAR HUYU WA EPL KUKAA NJE KWA WIKI 6

STAR HUYU WA EPL KUKAA NJE KWA WIKI 6

1206
0
SHARE

Screen Shot 2016-01-28 at 9.58.25 PM

Wiki 6 nje zitakua hasara kubwa kwa club yake ya Manchester City kwasababu Kevin De Bruyne ni mchezaji muhimu sana kwenye kisosi chao. Kevin amepata jeraha kwenye kifundo cha mguu kwenye mechi dhidi ya Everton ambapo hadi sasa zimetajwa kuwa ni wiki sita ndio zitatosha kuuguza jeraha hilo.

Mchezaji huyu mwenye miaka 24 alipata tatizo hilo baada ya kupata challenge kutoka kwa Ramiro Funes Moro wa Everton. Peregrin anategemewa ku-conferm kuhusu taarifa hii ya De Bruyne kukaa nje kwa wiki 6 kwenye press ya kesho. “Siku zote nimesema kwamba Kevin ni mchezaji muhimu sana msimu wote huu. Nadhani ni muhimu kuwa nae kwenye kila mechi”, alisema Peregrin baada ya mechi.

Screen Shot 2016-01-28 at 9.57.14 PM

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here