Home Dauda TV ANGALIA MAPOKEZI YA AINA YAKE ALIYOPEWA EL SHAARAWY KWENYE KLABU YAKE MPYA

ANGALIA MAPOKEZI YA AINA YAKE ALIYOPEWA EL SHAARAWY KWENYE KLABU YAKE MPYA

733
0
SHARE

AS Roma

Mshambuliaji nguli wa AC Milan Stephan El Shaarawy amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa kujiunga na miamba mingine ya soka la Italia klabu ya AS Roma.

Mchezaji huyo aliyepachikwa jina na ‘The Pharaoh’ kutokana na kuwa na asili ya Misri El Shaarawy alianza vizuri kung’ara vizuri akiwa na Milan kabla ya kupata majanga ya majeraha.

AS Roma 1

Kwasasa amerejea kwenye ligi ya Serie A kwenye mji mkuu wa Italia kujaribu kurejesha makali yake ya mwanzo baada ya kumaliza mkaba wake wa mkopo kwenye na Monaco ambayo imeshindwa kumpa mkataba wa kudumu.

Angalia mapokezi yake wakati akitua kwenye klabu ya Rome.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here