Home Entertainment Wayne Rooney Apiga Hat Trick – Hili Ndio Jina Alilompa Mtoto Wake...

Wayne Rooney Apiga Hat Trick – Hili Ndio Jina Alilompa Mtoto Wake Mpya

927
0
SHARE

Wanandoa Coleen na Wayne Rooney wametangaza kupata mtoto wao wa 3 leo jumapili. 

  
Rooney na Coleen kwa pamoja walitumia akaunti zao za mtandao wa Twitter kuwaambia mashabiki wao juu ya taarifa hiyo, wakiandika:  ‘Our gorgeous little boy arrived today. Kit Joseph Rooney. 8Ib 1oz. We are over the moon.’

  
Jana, Rooney alitoa ishara kwamba mkewe anakaribia kujifungua, baada ya kupost picha ya zamani iliyokuwa akimuonyesha akiwa na mtoto wake wa pili Klay muda mfupi baada ya kuzaliwa.  

 Rooney aliandika: ‘#TBT – Picha ya familia  baada ya Klay kuzaliwa. Sio muda mrefu kabla mtoto mwingine ajaongezeka kwenye familia.’ #Family.’

  Mtoto wa Kwanza wa Rooney na Coleen, alipewa jina Kai, aliyemfuatia akapewa jina la Klay na sasa watatu kapewa jina la Kit. 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here