Home Kimataifa Mario Balotelli atoa boko jingine.

Mario Balotelli atoa boko jingine.

668
0
SHARE

fdfdff

Mchezaji Mario Balotelli kutoa maboko ni kawaida yake au unaweza kusema yeye ni mtu wa vituko mara nyingi sana.

Sasa kwa nia njema lakini hapo hapo anatoa boko bila kujijua, Mario Baloteli amejisahau kama yeye bado ni mchezaji wa Liverpool.

Akiwa anaitakia mema club ya Liverpool, Mario Balotelli ali-tweet kwa kuandika “Good Luck to my ex team mates…Come on Liverpool destroy them today”.

Sasa hivi Balotelli anachezea club ya AC Milan lakini kimtaba bado ni mchezaji wa Liverpool. Sasa tweet yake imesambaa sana akiita Liverpool ex team wakati bado inamlipa mshahara hadi leo ikishirikiana na AC Milan.

Baadhi ya watu wanasema ilikua poa kuwatakia mema Liverpool, lakini kuwaita wachezaji wenzake ex-team mate wakati Liverpool sio ex team yake ilikua ni boko, hii ni moja ya maboko ya mwanzo wa mwaka ya Mario Balotelli.

Mcheki Balotelli akicheza kwenye Serie A Live on Startimes.

gggg

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here