Home Kimataifa Alichofanya Cristiano Ronaldo usiku wa Christmas kimegundulika.

Alichofanya Cristiano Ronaldo usiku wa Christmas kimegundulika.

751
0
SHARE

f

Cristiano Ronaldo amerudi tena kwenye headline za magazeti ya udaku ndani ya Ulaya kwa story ya kile alichokua anakifanya usiku wa Christmas.

Kama unakumbuka Ronaldo alikua Marekani Miami, kwenye safari hiyo alienda hadi kwenye mechi ya Miami Heat ambapo alibadirishana jezi na mchezaji wa team hiyo Luol Deng.

Sasa wadakuzi wakatafuta kujua kitu gani alikifanya usiku huo ndani ya jiji la maraha Miami. Magazine ya Vea ambalo ni maarufu kwa udaku limezipata picha ambazo Ronaldo alikua anajiachia na baby mmoja raia wa Colombia Nataly Rincon.

Kwa mujibu wa magazine hiyo baada ya usiku huo wa mambo mengi kila mtu akaendelea na lake, kwa maisha ya Ronaldo inasemekana kwamba mwanamke huyo alipata nafasi kwa CR7 usiku huo tu na sio uhusiano wa kudumu.

1 2 3 4

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here