Home Kitaifa SERIKALI YA TANZANIA YAFANYA KWELI, YAMPATIA SAMATTA ZAWADI BAB’KUBWA

SERIKALI YA TANZANIA YAFANYA KWELI, YAMPATIA SAMATTA ZAWADI BAB’KUBWA

736
0
SHARE
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akithibitisha serikali kumzawadia Samatta fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi (kushoto) akithibitisha serikali kumzawadia Samatta fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni

Kwa kuthamini tuzo aliyotwaa nahodha wa timu taifa ya Tanzania Mbwana Samatta, Selikali kupitia wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, imemkabidhi nyota huyo kiwanja eneo la Kigamboni ikiwa ni sehemu ya kujali na kuthamini heshima ambayo Samatta ameiletea Tanzania ya kuwa mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ndani (ligi za Afrika).

Samatta amepewa kiwanja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi kwenye sherehe maalum ya kumpongeza Mbwana Samatta kwa kutwaa tuzo hiyo iliyoipa heshima kubwa Tanzania. Tuzo hizo zimefanyika usiku wa Jumanne January 12, 2016.

Samatta akiwa na Mawaziri Nape Nnauye na Lukuvi pamoja na wazazi wake

Thomas Ulimwengu alikuwepo pia kumsapoti Samatta ambaye wamecheza pamoja TP Mazembe kwa muda mrefu

Popa 12 Popa 10

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akithibitisha serikali kumzawadia Samatta fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akithibitisha serikali kumzawadia Samatta fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni

Popa 8

Samatta (katikati), Waziri mwenye dhamana ya michezo Nape Nnauye (kushoto) na waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi

Popa 6

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Poppe (kushoto) na mwandishi maarufu wa habari za michezo Saleh Ally

Popa 4

Mshindi wa Big Brother Afrika Idris Sultan (kushoto) akiwa na Samatta kwenye picha ya pamoja

Mkuu wa idara ya Vodacom kanda ya Pwani Harrieth Koka akiwa katika picha ya pamoja na Samatta

Mbwana Samatta akimkabidhi zawadi ya jezi Waziri wa Ardhi, Nyma na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi

Picha zote kwa hisani ya Vodacom

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here