Home Kitaifa HII NI STORY MPYA KUHUSU MBWANA SAMATTA KUTUA ULAYA

HII NI STORY MPYA KUHUSU MBWANA SAMATTA KUTUA ULAYA

1044
0
SHARE

Samatta-ubalozi

Mbwana Samatta ametembelea ofisi za ubalozi wa Ubeligiji nchini Tanzania ikiwa ni mwaliko maalumu katika ofisi hizo lakini pia nyota huyo amepatiwa visa kwa ajili ya kwenda kujiunga na kalbu ya Genk inayoshiriki ligi kuu ya Ubeliiji maarufu kama Belgian Pro League.

Samatta-ubalozi 1

Hii hapa ni taarifa rasmi ya ubalozi wa Ubelligiji nchini Tanzania ikizungumzia kutembelewa na star huyo wa Bongo.

“Mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Afrika) Mbwana Ally Samatta leo ametembelea kwenye ubalozi wa Ubelgiji baada ya kupewa mwaliko laikini pia akapatiwa visa kwa ajili ya kwenda kujiunga na klabu ya KRC Genk ya nchini Ubeligiji”.

IMG-20160111-WA0004

“Ni mchezaji mwenye malengo, kipaji na uthubutu. Tunamktakia mafanikio huko aendako. Go go Samatta”.

IMG-20160111-WA0006

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here