Home Kitaifa PICHA: SAMATTA ALIVYOFUNGA MITAA YA JIJI LA DAR

PICHA: SAMATTA ALIVYOFUNGA MITAA YA JIJI LA DAR

1470
0
SHARE

Screen Shot 2016-01-09 at 8.35.01 PM

Mbwana Samatta ambaye ni mshindi wa tuzo ya mwanasoka bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Afrika, leo amefunga mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam ambapo amezunguka kwenye mitaa ya jiji hilo kuwapelekea tuzo hiyo wakazi wa Dar es Salaam wakati akielekea kwenye viwanja vya Escape One ambako inafanyika tafrija ya kumpongeza Samatta.

Safari ya Mbwana Samatta kuelekea kwenye viwanja vya Escape One ilianzia mtaa wa Samora, Clock Tower, Mnazi mmoja, barabara ya Uhuru, Kamata hadi Karume.

Kisha msafara huo ukaingia barabara ya Kawawa kuanzia ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Kigogo, Magomeni Usalama, Kinondoni hadi Morocco na kuifuata barabara ya Ally Hassan Mwinyi kupitia Victoria, Makumbusho, Sayansi, Bamaga hadi Mwenge.

Msafara huo ukazungukia Kawe, Lugalo, Mlalakuwa, na kumalizikia Escape One ambapo watu mbalimbali pamoja na mashabiki watapata fursa ya kupiga picha na shujaa huyo wa Tanzania.

Samatta pamoja na viongozi wa Wizara yenye dhamana ya michezo wakiwa kwenye picha ya pamoja
Samatta pamoja na viongozi wa Wizara yenye dhamana ya michezo wakiwa kwenye picha ya pamoja
Samatta akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye
Samatta akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye
Mh. Nape Nnauye akiwa mwenye furaha muda wote
Mh. Nape Nnauye akiwa mwenye furaha muda wote
Shabiki naye akaamua kutoa zawadi yake ya puto kwa Samatta yote ikiwa ni katika ku-show love
Shabiki naye akaamua kutoa zawadi yake ya puto kwa Samatta yote ikiwa ni katika ku-show love
Samatta akicheza na puto ambalo alipewa na moja ya mamia ya mshabiki
Samatta akicheza na puto ambalo alipewa na moja ya mamia ya mshabiki
Asikwambie mtu, bodaboda walisimamisha huduma ya usafiri wakahamia kwenye msafara wa Samatta na hapa wao ndiyo wanaongoza safari wakiwa mbele kabisa
Asikwambie mtu, bodaboda walisimamisha huduma ya usafiri wakahamia kwenye msafara wa Samatta na hapa wao ndiyo wanaongoza safari wakiwa mbele kabisa
Ilipobidi kuwapa tano washkaji jamaa hakuacha kufanya hivyo na hii inaashisi ni kiasi gani alivyokuwa mtu wa watu
Ilipobidi kuwapa tano washkaji jamaa hakuacha kufanya hivyo na hii inaashisi ni kiasi gani alivyokuwa mtu wa watu
Samatta akipunga mkono kuwasalimia mashabiki waliojitokeza kumlaki alipopita mitaani
Samatta akipunga mkono kuwasalimia mashabiki waliojitokeza kumlaki alipopita mitaani
Samatta akiwa ameishikilia tuzo yake vizuri kutoa nafasi kwa waandishi kupiga picha za kumbukumbu
Samatta akiwa ameishikilia tuzo yake vizuri kutoa nafasi kwa waandishi kupiga picha za kumbukumbu

Screen Shot 2016-01-09 at 8.34.21 PM

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye Sambamba na Shujaa wa kweli wakiwa kwenye gari la kweli wakipita mitaani kuwaonesha watanzania tuzo aliyoshinda Samatta
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye Sambamba na Shujaa wa kweli wakiwa kwenye gari la kweli wakipita mitaani kuwaonesha watanzania tuzo aliyoshinda Samatta

Screen Shot 2016-01-09 at 8.34.08 PM

Shaffih Dauda akisalimiana na makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu'  kwenye sherehe za kupongeza Samatta kwenye viwanja vya Escape One
Shaffih Dauda akisalimiana na makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu’ kwenye sherehe za kupongeza Samatta kwenye viwanja vya Escape One
Samatta na Kaburu katika picha ya pamoja wakiwa wameshika tuzo
Samatta na Kaburu katika picha ya pamoja wakiwa wameshika tuzo
Samatta akisalimiana na makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' aliyesafiri kutoka Zanzibar yanakofanyika mashindano ya Mapinzuzi ambapo Simba imeingia nusu fainali akarejea Dar kumpongeza Samatta ambaye alijiunga na TP Mazembe akitokea Simba SC
Samatta akisalimiana na makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange ‘Kaburu’ aliyesafiri kutoka Zanzibar yanakofanyika mashindano ya Mapinzuzi ambapo Simba imeingia nusu fainali akarejea Dar kumpongeza Samatta ambaye alijiunga na TP Mazembe akitokea Simba SC
Viongozi wa Serikali wakifurahi pamoja na Samatta
Viongozi wa Serikali wakifurahi pamoja na Samatta lakini akiwepo pia mchezaji mwenzake wa klabu ya TP Mazembe Thomas Ulimwengu pamoja na katibu mkuu wa TFF Celestne Mwesigwa
Waziri wa wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye pamoja na Mh. January Makamba Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri wa wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Mh. Nape Nnauye pamoja na Mh. January Makamba Waziri wa Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Samatta pamoja na Dauda wakiteta jambo
Samatta pamoja na Dauda wakiteta jambo

Screen Shot 2016-01-09 at 8.32.48 PM

Mashabiki waliojitokeza kwenye party viwanja vya Escape One wakimlaki shujaa wao Mbwana Samatta
Mashabiki waliojitokeza kwenye party ya kumpongeza Samatta viwanja vya Escape One wakimlaki shujaa wao Mbwana Samatta

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here