Home Ligi EPL Rasmi Guardiola Atamka Anaelekea EPL: Je Ni Man Utd, City, Chelsea au...

Rasmi Guardiola Atamka Anaelekea EPL: Je Ni Man Utd, City, Chelsea au Arsenal

772
0
SHARE

Unaweza kuacha kusoma tetesi.

Hatimaye kocha Pep Guardiola leo amethibitisha rasmi kwamba ataenda kufundisha soka katika ligi kuu ya Uingereza – Barclays Premier. CX9RJIfUkAE1zJs.jpg_largeBoss huyo wa Bayern Munich leo alikutana na waandishi wa habari katika mkutano wake wa kwanza wa 2016, na hakuweza kulikwepa swali kuhusu hatma yake baada ya kuondoka Bayern mwishoni mwa msimu.

Bila kukwepesha maneno kocha huyo mwenye umri wa miaka 44, alisema: “Nataka kufundisha soka katika ligi kuu ya England – Premier League.”

01_23152537_3d4e4d_2615510aGuardiola anapewa nafasi kubwa ya kuchukua nafasi ya Manuel Pellegrini Man City Ikiwa tetesi zilizopo kwenye vyombo vya habari vya Ujerumani ni za kweli.

Lakini Guardiola amesisitiza kwamba mpaka hajafikia makubaliano na timu yoyote ya Premier League – Ingawa kuna vilabu kadhaa vimeshaanza kumtumia ofa za kujiunga navyo.

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here