Home Ligi BUNDESLIGA Hii ndio Listi ya Wachezaji Wanaochukiwa Zaidi Ulaya

Hii ndio Listi ya Wachezaji Wanaochukiwa Zaidi Ulaya

765
0
SHARE

Inaonekana kuna mtu kutoka kwenye gazeti la kila siku la Ufaransa L’Equipe alikuwa na sikukuu mbaya ya Krismasi.

Mwandishi huyo habari ametumia kurasa mbili za gazeti hilo kutengeneza listi ya wacheza soka ambao wanachukiwa zaidi.

CXSx3cLW8AAr_SQMshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ametajwa kwenye listi hiyo akiitwa “ugly and nasty”.

Costa aliungana na nahodha wake wa Chelsea John Terry, ambaye Mario Balotelli na Nicklas Bentdner ambao wamewekwa kwenye category ya tabia zisizo eleweka.

Katika category ya wachezaji wenye vurugu zaidi, Nigel De Jong, Emire Spahic na Bradao waliunda top 3.

Katika listi ya wachezaji jeuri wenye kujiona zaidi Top 3 imekamatwa na Zlatan Ibrahimovic, Real Madrid superstar Cristiano Ronaldo, na kiungo wa Man City Samir Nasri.

Katika category ya mwisho ni listi ya wachezaji wanaongoza kwa kujirusha kiungo wa Barcelona Sergio Busquets, mshambuliaji wa Bayern Munich Arjen Robben, na kiungo wa Lyon Mathieu Valbuena.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here