Home Dauda TV DAUDA TV: VIDEO ZA MAGOLI YOTE YA MECHI ZA EPL DECEMBER 26

DAUDA TV: VIDEO ZA MAGOLI YOTE YA MECHI ZA EPL DECEMBER 26

820
0
SHARE

Chelsea-mpya

Ligi kuu ya soka nchi England (EPL) imeendelea tena leo kwa michezo nane kuchezwa kwenye viwanaja tofauti huku Manchester United imeendelea kutaabika baada ya leo pia kuchezea kichapo kutoka kwa Stoke City.

Kocha wa Man U Lois Van Gaal bado yupo kwenye wakati mgumu kufuatia kuingoza United kwenye michezo saba bila ya ushindi.

Video ya magoli yote Stock City vs Manchester United

Video ya magoli ya Chelsea vs Watford

Video ya magoli yote Manchester City vs Sunderland

Video ya goli la Liverpool vs Leicester City

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here