Home Kimataifa RONALDO HATAKI MCHEZO, AAMUA KUONESHA MASHABIKI MJENGO WAKE WA ‘KIFISADI’ ANAOISHI

RONALDO HATAKI MCHEZO, AAMUA KUONESHA MASHABIKI MJENGO WAKE WA ‘KIFISADI’ ANAOISHI

658
0
SHARE

mjengo

Nyota wa Real Madrd Cristiano Ronaldo amewapa fursa mashabiki wake kutembelea mjengo wake wa kifari ambao anaishi wenye thamani ya pauni milioni 4.8 uliopo kilometer chache nje ya jiji la Madrid.

mjengo 3

Mjengo huo upo maeneo ya jirani na star mwingine wa klabu hiyo Gareth Bale pamoja na legend wa Ufarana Zinedine Zidane.

mjengo 10

Ronaldo anayelamba kitita cha pauni laki 288, 000 kwa wiki baada ya makato yote ya kodi, aliwapa watu nafasi ya kuingia kwenye chumba chake anacholala, sebuleni, bustanini pamoja na kwenye uwanja mdogo uliopo kwenye jumba hilo ambapo Cristiano Jnr anaweza kufuata nyayo zake.

mjengo 9

Nyumba hiyo ya Ronaldo ipo kwenye eneo lenye ukubwa wa square-foot 8,600 ina vyumba saba vya kulala, sehemu ya kuhifadhia makombe, kuna mabafu nane, chumba cha kuchezea watoto pamoja na maeneo mengine.

mjengo 6

Nahodha huyo wa Ureno amesema chumba chake cha kulala ni moja ya sehemu muhimu katika maisha yake, na ni sehemu ambayo inamfanya acheze katika kiwango cha dunia.

mjengo 8

Ziara hiyo iliishia kwenye bustani ambayo ina bwawa la kuogelea ‘swimming pool’ ambapo pembeni yake kuna uwanja mdogo wa mpira.

mjengo 7

Mwezi August, Ronaldo alinunua luxury apartment jijini New York ambayo ilimgharimu dola za kimarekani milioni 18. 5.

mjengo 11

 

Picha zaidi

mjengo 4mjengo mjengo 5 mjengo 12 mjengo 13 mjengo 14 mjengo 15 mjengo 16 mjengo 17

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here