Home Kimataifa Drake na Floyd Mayweather face to face kwenye game ya OKC vs...

Drake na Floyd Mayweather face to face kwenye game ya OKC vs Clippers

672
0
SHARE

2F90F84F00000578-0-image-a-17_1450780057153

Russell Westbrook alitupia points 33 wakati Kevin Durant akitupia kikapu cha ushindi. Kwenye game ngumu ambayo ilisha kwa Thunders kushinda kwa vikapu 100-99, kama kawaida kwenye courtside kulikua na mastaa wengine wakiangalia game hiyo.

Mechi hii ilihudhuliwa na rapper Drake na boxer Floyd Mayweather. Kwenye position aliyokaa Floyd Mayweather aliweza kuona jinsi duos Russell na Durant wakishangilia kikapu cha ushindi.2F8FA5EF00000578-0-image-a-22_1450780734404 Baada ya game Drake na Floyd walikutana na kupiga story ambazo zilihusisha game hiyo.Picha walizopigwa walionekana kufurahia mchezo ambao Kevin Durant ali-shine.

Drake ni shabiki mkubwa wa club ya Toronto ambayo inashiriki kwenye ligi hiyo ya NBA.
2F90F6B400000578-0-image-m-15_1450779939096

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here