Home Kitaifa PICHA: SIMBA ILIVYOVUTWA SHARUBU NA TOTO MWANZA

PICHA: SIMBA ILIVYOVUTWA SHARUBU NA TOTO MWANZA

2238
0
SHARE
Mwinyi Kazimoto akiwa na Mchezaji Everest Bernard wakijaribu kila mmoja kuuchukua mpira uliotuama kwenye maji

December 19 timu ya Simba SC ikuwa ikipambana na timu ya Toto Africans ya Mwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara mchezo uliochezwa kwenye wa CCM Krumba jijini Mwanza na kushuhudia timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1 na kugawana pointi moja kila timu.

Simba walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji wao Daniel Lyanga dakika ya 22 kipindi cha kwanza lakini Evarist Bernard aliisawazishia Toto dakika ya 90+2 na kuufanya mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 1-1.

Mtandao huu unakuletea picha za matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye mchezo.

Mchezaji Said Ndemla akijaribu kumiliki mpira huku wachezaji wa Timu ya Toto African wakijaribu kuuchukua mpira huo

Abdi Banda akijaribu kupiga krosi kuelekea lango la Timu ya Toto African

Da Lyanga mchezaji mpya ya Simba akijitaidi kupiga mpira ambao upo kwenye maji yaliojaa uwanja wa CCM Kirumba

Eric Muliro akijaribu kumtoka mchezaji Ramadhan Kessy wa Simba katika mchezo ulipigwa Kirumba
Eric Muliro akijaribu kumtoka mchezaji Ramadhan Kessy wa Simba katika mchezo ulipigwa Kirumba
Mwinyi Kazimoto akiwa na Mchezaji Everest Bernard wakijaribu kila mmoja kuuchukua mpira uliotuama kwenye maji
Mwinyi Kazimoto akiwa na Mchezaji Everest Bernard wakijaribu kila mmoja kuuchukua mpira uliotuama kwenye maji
Mkuu wa Toto African John Tegete akiwa na wachezaji wake wakiwa upande wa machabiki wa Simba wakiwambia kuwa wamewakata ngebe kwa kusawazisha goli
Kocha Mkuu wa Toto African John Tegete akiwa na wachezaji wake wakiwa upande wa machabiki wa Simba wakiwambia kuwa wamewakata ngebe kwa kusawazisha goli
Raphael Kiongera akijaribu kutafuta njia ya kumpoka mchezaji wa Toto African Hassan Khalid

Raphael Kiongera akiwa katika pozi la kukata tamaa

Mashabiki wa Toto African katika jukwaa lao

Mashabiki wa Simba katika jukwaa lao
Mashabiki wa Simba katika jukwaa lao

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here