Home Dauda TV DAUDA TV: HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOKWAMA MBELE YA TOTO AFRICANS

DAUDA TV: HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOKWAMA MBELE YA TOTO AFRICANS

753
0
SHARE

Toto vs Simba

Wekundu wa Msimbazi Simba SC walishindwa kutamba mbele ya wenyeji wao Toto Africans kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara kwa kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la CCM Kilumba jijini Mwanza.

Simba walianza kufunga bao lao kupitia kwa Daniel Lyanga dakika ya 22 kipindi cha kwanza wakati Toto Africans wao walizima shamrashara za Simba dakika za lala salama kwa kusawazisha goli hilo mfungaji akiwa ni Evarest Bernard.

Hapa unapata fursa ya kuangalia video ya magoli yote namna ambavyo yalikwamishwa wavuni.

Video ya magoli Toto Africans vs Simba SC

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here