Home Dauda TV DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE YANGA VS STAND UNITED

DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE YANGA VS STAND UNITED

864
0
SHARE
Tambwe (katikati) akipongwewa na wachezaji wenzake wa Yanga Deus Kaseke (kushoto) na Simon Msuva (kulia)

Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu Tanzania bara klabu ya Yanga SC December 19 iliichapa Stand United kwa bao 4-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara uliopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Amis Tambwe ndiyo alikuwa kinara wa mchezo huo baada ya kufanikiwa kuweka bao tatu kambani huku bao jingine la mabingwa hao likikwamishwa wavuni na kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Thabani Kamusoko.

Inawezekana hukupata fursa ya kuushuhudia mchezo huo, Dauda TV inakuletea highlights za mchezo huo pamoja na magoli yote yaliyofungwa kwenye mchezo huo.

Angalia video ya highlights za mchezo wa Yanga vs Stand United .

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here