Home Kimataifa Picha za Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu walivyokua uwanjani jana

Picha za Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu walivyokua uwanjani jana

2934
0
SHARE

1Bado naendelea kukupa ripoti ya mbalimbali ya mechi ya TP Mazembe ambayo imewatoa kwenye ramani ya kutafuta ubingwa club kwenye ngazi ya dunia.

Hivi sasa zimebaki timu nne ambazo ni River Plate, Guangzhou Evergrande, Barcelona na Hiroshima ambazo zitacheza nusu fainali.

Hizi hapa ni picha nyingine za watanzania wa kwanza kucheza michuano hii.

2 3 4 5 6 7 IMG-20151213-WA0077 IMG-20151213-WA0081

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here