Home Kimataifa KAZI IMEANZA, RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HADHARANI…ANGALIA TIMU YAKO ITAKUFA NA...

KAZI IMEANZA, RATIBA YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HADHARANI…ANGALIA TIMU YAKO ITAKUFA NA NANI

820
0
SHARE

UEFA-draw

Ratiba ya michuano ya ligi ya mabingwa Ulaya hatua mtoano (16 bora) tayari imewekwa hadharani nani atakutana na nani katika hatua hiyo ambayo timu 16 zitakuwa zikichuana kutafuta nafasi ya kusonga mbele kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.

Hii hapa ratiba kamili ya michuano hiyo ikionesha timu ambazo zitakutana uso kwa uso kwenye hatua hiyo muhimu.

Dynamo Kyiv vs Manchester City

Benfica vs Zenit

PSV vs Atletico Madrid

Juventus vs Bayern Munich

Arsenal vs Barcelona

PSG vs Chelsea

Roma vs Real Madrid

Gent vs Wolfsburg

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here