Home Dauda TV DAUDA TV: HII HAPA VIDEO YA MAGOLI YA CLUB AMÉRICA VS GUANGZHOU...

DAUDA TV: HII HAPA VIDEO YA MAGOLI YA CLUB AMÉRICA VS GUANGZHOU EVERGRANDE FC

500
0
SHARE

Japan 6

Na Shaff Dauda, Osaka, Japan

Michuano inayoendelea jijini Osaka ya Club World Cup inazidi kuchukua sura mpya, timu ya Guangzhou Evergrande FC ya China imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo kwa kuitupa nje ya mashindano timu ya Club America ya Mexico kwa kuichapa kwa magoli 2-1 kwenye mchezo wa robo fainali.

Kama hukupata fursa ya kuushuhudia mchezo huo bado unanafasi ya kuangalia matukio muhimu kwa ufupi (highlights) za mechi hiyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here