Home Ligi EPL Arsene Wenger abambwa anachora vikatuni kwenye press ya UEFA

Arsene Wenger abambwa anachora vikatuni kwenye press ya UEFA

596
0
SHARE

2F2E06FE00000578-0-image-a-38_1449660849304
Inaonekana labda kazi ya Arsene Wenger kuwa ni nyepesi sana usiku wa leo dhidi ya Olympiacos kaisi kwamba ame-relax kupita kiasi.

Camera za waandishi2F2E06FE00000578-0-image-a-38_1449660849304 wa habari ziliweza kupata picha ambayo Arsene Wenger akiwa anachora kikatuni wakati akisubili maswali ya waandishi wa habari.

Akijibu moja ya maswali ya waandishi wa habari alisema, “Tuna kila sababu na uwezo wa kupita kwenye hatua inayofuata kesho. Kama unataka kufanikiwa lazima uwe umejiandaa na sisi tumefanya hivyo na tuna historia ya matokeo mazuri”

Kikatuni hicho kinaonekana kama ndege za nje ya dunia ambazo mara nyingi huonekana kwenye katuni za watoto. Hiyo picha ndiyo imekua headline kubwa zaidi ya press yenyewe.

@@Wenger doodle.jpg@@18123166.jpg

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here