Home Dauda TV DAUDA TV: HIVI NDIVYO MTIBWA WALIVYOADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANGANYIKA

DAUDA TV: HIVI NDIVYO MTIBWA WALIVYOADHIMISHA MIAKA 54 YA UHURU WA TANGANYIKA

449
0
SHARE

IMG-20151209-WA0010

Wanamichezo wamefanya poa sana katika maadhimisho ya miaka 54 ya Uhuru wa Tanganyika ambapo mwaka huu imeadhimishwa kwa kufanya usafi kwenye maeneo mbalimbali yanayozunguka makazi ya wananchi.

Klabu ya Mtibwa Sugar inayoshisiriki ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, iliungana na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Betty Mkwasa katika kufanya usafi kwenye soko la Madizini wilayani humo eneo ambalo ni jirani na makao makuu ya klabu klabu ya Mtibwa Sugar.

Dauda TV ‘timu ya ushindi’ imekuandalia video inayoonesha wachezaji wa Mtibwa Sugar walivyowajibika kufanya usafi kwenye soko la Madizini-Turiani,Morogoro.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here