Home Dauda TV ULIPITWA NA GOLI 3 ZA ARSENAL DHIDI YA SUNDERLAND? ZIANGALIE HAPA KUPITIA...

ULIPITWA NA GOLI 3 ZA ARSENAL DHIDI YA SUNDERLAND? ZIANGALIE HAPA KUPITIA DAUDA TV

477
0
SHARE

O. Giroud

Licha ya kuwa na majeruhi wengi kwenye kikozi cha Ara sene Wenger kimeweza kuchomoza na ushindi wa bao 3-1 dhidi ya Sunderland kwenye mchezo wa ligi kuu England uliopigwa kwenye dimba la Emirates, London.

Arsenal ilianza kupata goli la kwanza kutoka kwa Campbell dakika ya 33, Olivier Giroud akaipa Arsena goli la pili huku Aron Ramsey ikikamilisha ushindi kwa upande wa Arsenal.

Sunderland ilijaribu kujitutumua lakini ilibanwa vizuri na kujikuta ikiambulia goli moja lililotokana na Giroud kujifunga wakati akiwa kwenye harakati za kuokoa mpira langoni kwa Arsenal.

Angalia video ya magoli yote hapa chini kupitia Dauda TV

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here