Home Kimataifa LA LIGA LEO VITANI, RATIBA YA MECHI ZOTE IPO HAPA

LA LIGA LEO VITANI, RATIBA YA MECHI ZOTE IPO HAPA

18334
0
SHARE

Madrid vs Barca 3

Ligi kuu Hispania maarufu kama Spanish La Liga leo itaendelea kupigwa huko huku vilabu vikongwa na pinzani vya Real Madrid pamoja na Barcelona navyo vitashuka uwanjani kutafuta ushindi wakati vitakapokabiliana na timu nyingine za ligi hiyo.

Kikubwa na cha pekee hapa mechi za La Liga unaweza ukazingalia nyumbani kwako ukiwa umetulia vizuri kupitia Azam TV kwa channel yao ile ya Azam Sports HD.

Nilichofanya mimi ni kukupa ratiba ya mechi zote za La Liga zitakazopigwa leo, usipitwe na mechi za La Liga leo.

la liga

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here