Home Ligi BUNDESLIGA AUBAMEYANG ATAFANYA NINI LEO? HII HAPA RATIBA YA BUNDESLIGA JUMAMOSI YA LEO

AUBAMEYANG ATAFANYA NINI LEO? HII HAPA RATIBA YA BUNDESLIGA JUMAMOSI YA LEO

1560
0
SHARE

Piere 1

Mshambuliaji wa Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang leo timu yake inashuka uwanjani kucheza dhidi ya Wolfsburg, jamaa ndiyo striker anayekimbiza Ulaya hadi sasa baada ya kutupia kambani jumla ya magoli 17 kwenye mechi 14 alizocheza. Leo Aubameyang ataendeleza wimbi la kucheka na nyavu? Angalia mechi za Bundesliga kujua mgabon huyu atafanya nini leo.

Ukiachana na mchezo kati ya Borussia Dortmund dhidi ya VfL Wolfsburg hii hapa ni ratiba nzima ya mechi zote zitakazopigwa leo kwenye ligi ya Ujerumani.

Bundes

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here