Home Ligi EPL Anthony Martial ameanza sherehe ya birthday yake kwa style hii

Anthony Martial ameanza sherehe ya birthday yake kwa style hii

439
0
SHARE

sd

Leo mchezaji wa Manchester united Anthony Martial anatimiza miaka 20 ambapo amemaliza kipindi cha umri wa teenage akiwa kama most expensive teenage kwenye historia ya soka baada ya kununuliwa kwa £57.6m kutoka Monaco hadi Manchester United.

Kabla ya mechi Martial ameletewa keki maalum na Chef wa Manchester United ikiwa ni moja sehemu za mwanzo za kushereka birthday yake. Zaidi ya hapo wachezaji wenzake wa Manchester united wameanza ku-post kwenye mitandao ya kijamii.

Martial anategemewa kuanza kwenye kikosi cha leo ambapo Manchester united itacheza dhidi ya West Ham united kwenye mechi za kawaida kwenye ligi. Siku yake itakamilika kama akifunga kwenye mechi ya leo

2F107ED900000578-0-image-a-33_1449262232996

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here