Home Kitaifa PICHA: ULIPITWA NA BIRTHDAY PARTY YA MSUVA?, ANGALIA PICHA UONE ILIVYOBAMBA…

PICHA: ULIPITWA NA BIRTHDAY PARTY YA MSUVA?, ANGALIA PICHA UONE ILIVYOBAMBA…

2659
0
SHARE

Msuva 23

Ulipitwa na Birthday Party ya Simon Msuva? kama ilikupita basi mtandao huu unakupa fursa ya kushuhudia matukio yote yaliyojiri kwenye party hiyo iliyofanyika usiku wa December 3 wakati mchezaji huyo wa Yanga na Taifa Stars alikpokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Picha zinazoonesha matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye party hiyo zitakufanya ujione uliwa miongoni mwa watu waliokuwepo kwenye party hiyo.

Timu ya ushindi kutoka shaffihdauda.co.tz ilikuwepo eneo la tukio ili kukufanya wewe uwe karibu na matukio yaliyojiri usiku huo. Angalia picha za matukio hayo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

Msuva 31 Msuva 30 Msuva 29 Msuva 28 Msuva 27 Msuva 26 Msuva 25 Msuva 24 Msuva 22

Msuva 20

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya kumpongeza Simon Msuva katika birthday party yake

Msuva akitoa neno kwa watu waliohudhuria birthday part yake usiku wa December 3, 2015

Dummy Utamu naye akapata fursa ya kuzungumza na wadau waliojumuika kwenye party yake na Msuva ambapo wote kwa pamoja wanashare siku yao ya kuzaliwa

Divaz nao hawakuwa mbali kumpa sapoti ya nguvu Simon Msuva

Fred kutoka kundi la makomando akifungua Sham-pain wakati wa party hiyo ili watu wa-enjoy

Simon Msuva (kushoto) akiwa na Shabani Juma jamaa ambaye wanafanana sana hadi watu kudhania labda jamaa hawa ni ndugu

Msuva pamoja na Dummy Utamu wakiwa wameketi pamoja wakati party ikiendelea

Msuva (kushto) pamoja na Muki kutoka kundi la Makomando wakiyarudi kwa style ya 'kibega'
Msuva (kushto) pamoja na Muki kutoka kundi la Makomando wakiyarudi kwa style ya ‘kibega’
Msuva katika picha ya pamoja na dancer maarufu wa Diamond Mose Iyobo (katikati) ambaye pia alikuwepo kumpa support Msuva

Msuva na wadau katika picha ya pamoja
Msuva na wadau katika picha ya pamoja
Birthday Boys wakiwa makini kusikiliza maelekezo yaliyokuwa yakitolewa na MC kuhusu taratitbu mbalimbali kwenye party hiyo

Simon Msuva akimlisha keki dada yake Merry Msuva

Hawa jamaa wote ni ma-dancer wakaanza kupiga show ukumbini

Wakati wa Mose Iyobo kulishwa keki na Msuva ukafika

Msuva akamlisha keki pia mdogo wake James Msuva

Dummy Utamu akimlisha keki birthday boy mwenzake

Ukitoa kucheza katika kikosi kimoja hawa jamaa ni washkaji sana Simon Msuva na Juma Abdul

Msuva 18

Juma Abdul pia alikuwepo kwenyye party hiyo, hapa akapata fursa ya kulishwa keki na mchizi wake wa karibu Simon Msuva

Msuva akiwa na washkaji zake wa karibu kutoka kundi la Makomando, Muki (katikati) pamoja na Fred

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here