Home Kitaifa PICHA: HIVI NDIVYO KILI STARS ILIVYOWASILI TOKA ETHIOPIA

PICHA: HIVI NDIVYO KILI STARS ILIVYOWASILI TOKA ETHIOPIA

1078
0
SHARE
Washambuliaji wa Kili Stars Malimi Busungu (kushoto) na Elius Maguli
Washambuliaji wa Kili Stars Malimi Busungu (kushoto) na Elius Maguli
Washambuliaji wa Kili Stars Malimi Busungu (kushoto) na Elius Maguli

Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania bara ‘Kilimanjaro Stars’ kimerejea nchini leo kikitokea nchini Ethiopia ambako kilikuwa kinashiriki michuano ya kombe la Challenge 2015.

Wachezaji, benchi la ufundi na viongozi wa Kili Stars wamerejea leo baada ya kutupwa nje ya michuano hiyo na wenye Ethiopia kwa kufungwa kwa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia sare ya kufungana goli 1-1 kwenye muda wa dakika 90 za mchezo huo.

Kili Stars ilitupwa nje siku ya Jumatatu kwenye mchezo wa robo fainali, kabla ya mchezo huo timu hiyo iliongoza kundi A ikiwa na pointi saba (7) ikifanikiwa kuzifunga timu za Somalia na Rwanda kabla ya kutoka sare na wenyeji Ethiopia kwenye mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi.

Mtandao huu ulikuwepo uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius K. Nyerere kushuhudia kikosi hicho kinavyowasili nyumbani baada ya kuondoshwa kwenye michuano hiyo. Angalia picha za matukio mabalimbali baada ya kikosi hicho kukanyaga ardhi ya Tanzania.

Kocha wa Kilimanjaro Stars pamoja na klabu ya JKT Ruvu lakini pia ni mshauri wa benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'
Kocha wa Kilimanjaro Stars pamoja na klabu ya JKT Ruvu Abdallah Kibadeni ‘King Kibadeni’ (kulia) lakini pia ni mshauri wa benchi la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’akiwa akipokelewa na mkurugenzi wa ufuni wa TFF
Mohamed Hussein 'Tshabalala', Mlinzi wa kushoto wa wekiundu wa Msimbazi Simba na Kili Stars
Mohamed Hussein ‘Tshabalala’, Mlinzi wa kushoto wa wekiundu wa Msimbazi Simba na Kili Stars
Mchezaji bora na mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara Simon Msuva ambaye ni winga wa Kili Stars pamoja na klabu ya Yanga
Mchezaji bora na mfungaji bora wa ligi kuu Tanzania bara Simon Msuva ambaye ni winga wa Kili Stars pamoja na klabu ya Yanga
Mlinzi kiraka wa Azam FC pamoja na Kilimanjaro Stars Shomari Kapombe
Mlinzi kiraka wa Azam FC pamoja na Kilimanjaro Stars Shomari Kapombe
Mlinzi wa kulia wa Simba SC na timu ya Kilimanjaro Stars Ramadhani Kessy
Mlinzi wa kulia wa Simba SC na timu ya Kilimanjaro Stars Ramadhani Kessy
Golikipa wa Azam FC na timu ya Kilimajnaro Stars Aishi Manula
Golikipa wa Azam FC na timu ya Kilimajnaro Stars Aishi Manula
Kocha wa magolikipa Peter Manyika
Kocha wa magolikipa Peter Manyika

Kili stars 2

Nahodha wa Kilimanjaro Stars na Azam FC John Bocco 'Adebayor'
Nahodha wa Kilimanjaro Stars na Azam FC John Bocco ‘Adebayor’
Mshambuliaji wa kikosi cha Kili Stars na klabu ya Yanga Malimi Busungu
Mshambuliaji wa kikosi cha Kili Stars na klabu ya Yanga Malimi Busungu

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here