Home Ligi EPL Nani amenyuka vizuri suti kati ya hawa wachezaji wa Manchester United?

Nani amenyuka vizuri suti kati ya hawa wachezaji wa Manchester United?

589
0
SHARE

man

Baada ya kutoka draw ya 1-1 dhidi ya Leicester City wachezaji na viongozi wa Manchester united walifika kwenye chakura cha usiku kwa ajili ya kuchangia pesa kwenye Unicef Gala Dinner.

Kwenye hafla hiyo ya kuchangia pesa wamefanikiwa kukusanya £230,000 na kwenda kusudio lao. Haya sasa tuzungumze maisha nje ya soka, nani kati ya hawa wachezaji na viongozi wa Manchester united amependeza?

2EE8FFD100000578-3338542-Assistant_manager_Ryan_Giggs_endured_a_frustrating_day_on_the_si-a-28_1448867614025 2EE91A1A00000578-3338542-image-m-74_1448826986178 2EE905A500000578-3338542-image-m-33_1448826723545 (1) 2EE905A500000578-3338542-image-m-33_1448826723545 2EE918CD00000578-3338542-image-m-62_1448826886218 2EE948BA00000578-3338542-image-a-24_1448867574434 2EE9065900000578-3338542-image-a-34_1448826732571 2EE9070700000578-3338542-image-a-12_1448871434607 2EE9079100000578-3338542-image-a-63_1448826895856 2EE9194100000578-3338542-image-m-70_1448826954074 2EEB6F4500000578-3338542-image-a-16_1448873885624 2EEBB82700000578-3338542-image-m-15_1448873876259

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here