Home Kimataifa Cristiano Ronaldo kaiweka rekodi hii mpya La Liga

Cristiano Ronaldo kaiweka rekodi hii mpya La Liga

677
0
SHARE

Jana jumapili Cristiano Ronaldo alifunga goli lake la 9 kwenye msimu huu wa La Liga katika mechi dhidi ya Eilbar.

 Goli la jana la nahodha huyo wa Ureno lilimfanya aandike historia nyingine katika vitabu vya kumbukumbu ya La Liga – kwa kutimiza jumla ya magoli 235 katika misimu iliyocheza kwenye ligi hiyo.

 Ronaldo sasa anakuwa mfungaji bora namba 3 katika historia ya La Liga akiwa nyuma ya Telmo Zarra mwenye magoli 251, na Lionel Mess mwenye magoli 290.

 Cristiano sasa amempita  gwiji wa kimexico Hugo Sanchez ambaye alifunga mabao 234 wakati alipovichezea vilabu vya Atletico Madrid, Real Madrid na Rayo Vallecano.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here