Home Ligi EPL JAMIE VARDYYYYYY…. AWEKA ALAMA YAKE RASMI KATIKA EPL, AVUNJA REKODI

JAMIE VARDYYYYYY…. AWEKA ALAMA YAKE RASMI KATIKA EPL, AVUNJA REKODI

587
0
SHARE

vard

Mchezaji na mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy amevunja rekodi ya kuwa mshambuliaji aliyefunga magoli mengi zaidi na katika mechi nyingi mfululizo.

Jamie Vardy kavunja rekodi ya Ruud Van Nistelrooy baada ya kufunga goli katika mechi 11 mfululizo. Goli la kufikisha safari ya mechi 11 mfululizo akifunga limekuwa dhidi ya timu ya zamani ya Nistelrooy yaani Manchester United akifunga katika kipindi cha kwanza.

Mchezaji Ruud Van Nistelrooy aliweka rekodi ya awali kwa michezo ya misimu miwili ya mwaka 2003. Mpaka anavunja rekodi hii Vardy amefunga magoli 13 katika kipinid hiki huku pia akiwa amefunga magoli 14 na kuongoza orodha ya wafungaji ligi kuu ya Uingereza.

IFAHAMU SAFARI YA UFUNGAJI WAKE KATIKA MECHI HIZI 11

29 August: Bournemouth 1-1 Leicester

vard 1

13 September: Leicester 3-2 Aston Villa

vard2

19 September: Stoke 2-2 Leicester

vard3

26 September: Leicester 2-5 Arsenal

vard4

3 October: Norwich 1-2 Leicester

vard5

17 October: Southampton 2-2 Leicester

vard7

24 October: Leicester 1-0 Crystal Palace

vard8

31 October: West Brom 2-3 Leicester

vard9

7 November: Leicester 2-1 Watford

vard10

21 November: Newcastle 0-3 Leicester

vardy11

28 November: Leicester v Manchester United

vardy12

VIDEO YA GOLI LA 11 LA VARDY

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here