Home Ligi EPL RATIBA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI HII

RATIBA MECHI ZOTE ZA EPL JUMAMOSI HII

704
0
SHARE

EPL logo

Baada ya ligi mbalimbali kusimama kwa muda kupisha ratiba ya michezo ya kimataifa, ligi kuu ya England itaendelea tena kwa mechi kadhaa kupigwa kwenye viwanja tofauti kutafuta pointi tatu ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya ligi hiyo.

Mechi ambayo imebeba headlines kwenye ligi hiyo ni kati ya Manchester City dhidi ya Liverpool mchezo unaosuiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa soka.

Ratiba nzima ya michezo ya EPL Jumamosi hii ni kama inavyoonekana hapa chini.

EPL 1 EPL 2 EPL 3 EPL 4 EPL 8 EPL 7 EPL 6 EPL 5

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here