Home Ligi BUNDESLIGA KICK YA PIERRE AUBAMEYANG INAZIDI KUPANDA INSTAGRAM NA UWANJANI

KICK YA PIERRE AUBAMEYANG INAZIDI KUPANDA INSTAGRAM NA UWANJANI

478
0
SHARE

aun
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon na club ya Borussia Dortmund ni jina kubwa katika fani ya soka sasa hivi kwa kasi yake ya ajabu ya kucheka na nyavu ndani na nje ya ligi ya Bundesliga.

Aubamayang yupo juu kabisa kwenye list ya wafungaji bora wa ligi ya Bundesliga akipigana vikumbo na Lewandowski kwa magoli 14 ambapo 9 alifunga akiwa kwenye uwanja wa nyumbani na 4 akiwa away.

Umaarufu wa Aubamanyang umepanda kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii hasa instagram na kufikisha mashabiki/ followers milioni moja hivi karibuni.

cxd
Kurasa ya instagram ya Aubamayang hivi sasa imekua zaidi ya kutoa updates za mechi zake bali anaitumia kuonyesha hadi interest zake. Aubamayang anaonyesha kwamba yeye ni shabiki mkubwa sana batman. Mara nyingi anaonyesha jinsi gani anampenda Batman kwa kuvaa mavazi yenye logo ya Batman.

Unaweza kucheki mechi zote Borussia Dortmund na ukamuona Aubamayang kupitia king’amuzi cha Startimes na pia unaweza kumfollow kwenye instagram @aubameyang97

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here