Home Ligi EPL MASHABIKI WA ARSENAL WAME-REACT KWA MSHANGAO KUHUSU TETESI ZA MESSI KUICHAGUA ARSENAL

MASHABIKI WA ARSENAL WAME-REACT KWA MSHANGAO KUHUSU TETESI ZA MESSI KUICHAGUA ARSENAL

528
0
SHARE

FANS

Hakuna club ambayo ina mashabiki ambao wanaichukua timu yao na kuipenda pia kama mashabiki wa Arsenal. Baada ya tetesi kusambaa kwenye mtandao leo kwamba Messi kama akihamia EPL basi ataichagua Arsenal, baadhi ya mashabiki wamefurahi ila wengine wameona ni kichekesho kikubwa.

Tweets nyingi kuhusu reaction ya story hiyo ni kwamba mashabiki wanaona kitakua ni kituko cha mwaka kumuona Messi anavaa jezi ya Arsenal na kulipwa mshahara wa pound laki 6 kutokana na ubahili wa kocha wao.

Shabiki mmoja amesema kwamba akimuona Messi anajiunga na Arsenal basi na yeye ataenda kugombe urais Marekani akimaanisha kwamba ni kitu kisichowezekana. Kwa fikra zako unadhani Messi anaweza kujiunga na Arsenal kweli?

Hizi ni tweets za mashabiki hao kuhusu tetesi hizo.

2 1

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here