Home Dauda TV DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE TAIFA STARS VS ALGERIA

DAUDA TV: ANGALIA MAGOLI YOTE TAIFA STARS VS ALGERIA

916
0
SHARE
Elius Maguli (mbele) akishangilia pamoja na Farid Musa mara baada ya kuifungia Stars goli la kwanza
Elius Maguli (mbele) akishangilia pamoja na Farid Musa mara baada ya kuifungia Stars goli la kwanza
Elius Maguli (mbele) akishangilia pamoja na Farid Musa mara baada ya kuifungia Stars goli la kwanza

Timu ya Tifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeshindwa kutamba nyumbani baada ya kubanwa na kulazimishwa sare ya kufungana magoli 2-2 na timu ya taifa ya Algeria kwenye mchezo wa kusaka nafasi ya kupangwa kwenye hatua ya makundi kwa ajili ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia mwaka 2018.

Stars ilifunga magoli yake kupitia kwa Elius Maguli na Mbwana Samatta wakati Slimani Islam alifunga magoli yote mawili kwa upande wa Algeria.

Kama hukushuhudia maoli hayo kutokana na sababu mbalimbali, Dauda TV ‘Timu ya Ushind’ inakufanya usipitwe na kitu, angalia video ya highlights za magoli yote yote ya mchezo kati ya Tanzania dhidi ya Algeria.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here