Home Kimataifa MSANII ALI KIBA FACE TO FACE NA VICTOR WANYAMA & OLUNGA…WAMEZUNGUMZA HAYA...

MSANII ALI KIBA FACE TO FACE NA VICTOR WANYAMA & OLUNGA…WAMEZUNGUMZA HAYA KUHUSU SOKA

1166
0
SHARE

cover

Footballer meets Musician/Footballer – Mchana wa leo Mwanamuziki wa Bongo Fleva Alikiba amekutana na mwanasoka wa kimataifa wa Southampton Mkenya Victor Wanyama jijini Nairobi nchini Kenya. Katika sehemu ya mazungumzo yao walipokutana Kiba ambaye anafahamika kuwa mpenzi wa klabu ya Liverpool ya Uingereza amemshawishi Wanyama afikirie kujiunga na Majogoo wa Jiji ikitokea anataka kuihama Soton

Alikiba na Olunga wamekutana pia, kwenye mazungumzo yao Kiba kamshawishi aje bongo ajiunge na Yanga ambaye anaishabikia. Lakini Olunga amesema yeye anaangalia maslahi na maendeleo ya kipaji chake

Kenya wamecheza mechi dhidi ya Carpe verde ambayo walishinda 1-0.

1 2 3 4 5

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here