Home Kimataifa Uamuzi wa klabu ya kwanza ya Ronaldo kuhusu matumizi ya jezi namba...

Uamuzi wa klabu ya kwanza ya Ronaldo kuhusu matumizi ya jezi namba 7

679
0
SHARE

Andorinha, klabu iliyopo katika eneo la Madeira huko Ureno, ni klabu ambayo aliitumikia Cristiano Ronaldo kwa mara ya kwanza kabisa, wameamia kumtunza kwa namna ya aina yake mwanasoka huyo ambaye anakipiga katika klabu ya Real Madrid.

  Wanachama wa klabu na Raisi Jose Bacelar wamepitisha azimio la kuistaafisha jezi namba 7 – ikiwa ni kitendo cha heshima kwamwanasoka huyo — jezi hiyo hivi sasa itakuwa maalum kwaajili ya Cristiano ambaye akiamua anaweza kumrithisha mtu ampendae.

Cristiano amekuwa mwanachama wa heshima aa klabu hiyo ya Andorinha tangu July mwaka jana. Aliwahi kuichezea klabu hiyo ya mtaani kwao tangu alipokuwa na miaka 8 mpaka alipofikisha miaka 10. Baadae alihami Nacional kabla ua kwenda Sporting Lisbon na kilichoendelea kama wasemavyo ni historia.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here