Home Kimataifa PICHA ZA PATRICK VIERA ALIVYOFIKA NEW YORK CITY FC KAMA KOCHA KWA...

PICHA ZA PATRICK VIERA ALIVYOFIKA NEW YORK CITY FC KAMA KOCHA KWA MARA YA KWANZA

600
0
SHARE

2E6805D200000578-0-image-a-17_1447407726688

Wiki hii Patrick Viera ameteuliwa kuwa kocha New York City FC na kuacha majukumu yake kama Elite Development Squad. Mchezaji huyu wa zamani wa Arsenal mwenye miaka 39 amefika Marekani na kutembelea uwanja wa mazoezi akiwa ndani ya Jacket.

Kabla ya kukutana na wachezaji Patrick Viera alikaa na media team kuzungumza na alisema kwamba anafurahi nafasi hiyo mpya aliyopata na yupo tayari kufanya kazi na wachezaji na viongozi.

2E6805BE00000578-0-image-a-18_1447407730044 2E6805D200000578-0-image-a-17_1447407726688 2E6805EF00000578-0-image-a-13_1447407709245 2E68063A00000578-0-image-a-15_1447407718360 2E68061400000578-0-image-a-14_1447407714582 2E68066200000578-0-image-a-16_1447407722907

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here