Home Ligi EPL ROMAN ABRAMOVICH ANAJIANDAA KUTOA MEGA OFFER KUMSAJILI CRISTIANO RONALDO.

ROMAN ABRAMOVICH ANAJIANDAA KUTOA MEGA OFFER KUMSAJILI CRISTIANO RONALDO.

481
0
SHARE

ron

Inasemekana kwamba Abromovich anaamini kwamba uwepo wa Ronaldo kwenye club yake ya Chelsea utai boost hata kama Mourihno akiwepo au asipokuwepo.

Hivi taarifa kubwa ni kwamba Chelsea wanataka kumuuza Hazard na Nemanja Matic ili kupatapa pesa za kutosha na kumsajili Ronaldo. Pia uwezekanao mwingine ni kwamba wawili hawa wanaweza kuwa sehemu ya dili la kubadilisha na Real Madrid.

Wakati huo huo PSG nao wanaonekana kuwa mstari wa mbele kutaka kumpeleka CR7 Paris na kumekuwa na tetesi nyingi sana za uwezekano wa kumuona Ronaldo ndani ya Jezi ya PSG.

CR7 alivyoulizwa kuhusu kwenda kufanya mazoezi tena chini ya Jose Mourihno alisema, “Kurudi kufanya mazoezi na Mou, kwanini isiwezekane. Hakuna anaijua kesho”.

Uwezekano huo wa kwenda Chelsea pia unachangiwa sana na ukaribu wa wakala wa Cristiano Jorge Mendez na tajiri huyo Abromovich

Sasa tuendelee kusubili kuona kwamba Ronaldo atarudi kwenye EPL au ataenda Ligue 1.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here