Home Ligi EPL RIPOTI : AKITOKA MESSI NA RONALDO ANAFUATIA MEMPHIS DEPAY

RIPOTI : AKITOKA MESSI NA RONALDO ANAFUATIA MEMPHIS DEPAY

503
0
SHARE

2E61216200000578-3315524-image-a-45_1447339331756

Licha ya kutofanya vizuri uwanjani lakini sokoni Memphis Depay anafanya vizuri kwenye mauzo ya jezi yake. Hivi karibuni Manchester wametangaza kuweka rekodi yao mpya ya mauzo makubwa ndani ya Quarter ya kwanza ambapo wameingiza kiasi cha £123.6m.

Taarifa zilizotolewa ni kwamba jezi inayoongozwa kwa mauzo ni jezi ya Memphis Depay na Wayne Rooney pamoja na Bastian Schweinsteiger wanafuatia.

Taarifa hizo zimepewa nguvu na taarifa ya mtandao wa Kitbag ambao umetoa listi ya jezi zilizouzwa sana kwa muda July hadi September na Memphis amekua wa tatu baada ya Messi na Ronaldo. Mwaka jana Bastian Schweinsteiger alikua namba 31 kwenye mauzo ya jezi lakini baada ya kuhamia Manchester amepanda hadi namba 4. Alex Sanhez ndio mchezaji wa Arsenal ambae jezi yake inauzwa sana kwa sasa na yupo namba 9 kwenye list kamili.

Hii hapa ndio listi yenyewe..

1

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here