Home Ligi EPL NDEREMO NA VIFIJO DR EVA CARNEIRO KAUOLEWA…MOURIHNO KAALIKWAA??

NDEREMO NA VIFIJO DR EVA CARNEIRO KAUOLEWA…MOURIHNO KAALIKWAA??

486
0
SHARE

hg

Dr Carneiro mwenye miaka 42 hatimaye ameolewa na aliyekua partner wake Jason De Carteret huko London siku ya Jumatano jana.

Dr Carneiro hivi sasa ameifungulia mashataka Chelsea na manager wake Jose Mourinho kwa matatizo mengi ambayo yametokea juu yake akiwa ndani ya Chelsea.

Wawili hao waliofunga ndoa kwenye kanisa moja huko London linaitwa St Patrick na baada wakaenda zao kwenye party.

Kwenye harusi hiyo hapakua na mchezaji hata mmoja wa Chelsea na Jose Mourihno hakupewa mualiko kabisa wa kuja kwenye hiyo harusi.
2E59D8D100000578-3314186-image-m-29_1447273466708 2E598BE400000578-3314186-image-a-13_1447266837945 2E598BF000000578-3314186-Wedding_bells_Former_Chelsea_doctor_Eva_Carneiro_married_her_par-m-19_1447266924128 2E598C9C00000578-3314186-Kiss_the_bride_Ms_Carnerio_looked_radiant_in_a_white_wedding_dre-m-20_1447266937372 2E598C7400000578-3314186-image-a-15_1447266846950 2E598CA600000578-3314186-Happy_day_The_former_Chelsea_doctor_and_her_new_husband_looked_o-m-21_1447266950379 2E598CBE00000578-3314186-image-m-23_1447270396531 2E598CD200000578-3314186-image-a-18_1447266858687

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here