Home Kimataifa SABABU KWANINI POGBA HAFAI KUSAJILIWA NA FC BARCELONA

SABABU KWANINI POGBA HAFAI KUSAJILIWA NA FC BARCELONA

743
0
SHARE

Vyanzo kadhaa vya habari za michezo duniani vimekuwa vikimhusisha kinda wa kifaransa Paul Pogba na usajili kwenda jijini Catalunya kujiunga na FC Barcelona. Pogba anapaswa kujivuna kwa kuivutia Barcelona na ishara inaonyesha ni namna gani alivyoimarisha kiwango chake katika miaka ya hivi karibuni.
Kuiongoza Juventus – timu ambayo ilikuwa na kikosi cha kawaida kulinganisha na viabu vingine walivyokutana navyo – hasa Real Madrid – hivyo mafanikio waliyopata sio kidogo.
Hivyo kupelekea Barcelona kuanzisha vita ya kutuma ofa, lakini swali linakuja Pogba anaweza kufanikiwa na klabu hiyo ya Catalunya.?
Moja ya vitu ambavyo kiungo huyu wa kifaransa anapaswa kuviweka akili wakati atakapoamua kujiunga na klabu yenye ukubwa aina ya Barcelona ni ustawi wa kipaji chake ndani ya klabu hiyo. Bila mashaka yoyote Pogba ni mmoja wa viungo bora duniani kwa hivi sasa lakini hili halitoi gerentii ya jambo lolote la mbele. Kiuhalisia unapojiunga na klabu ambayo imetoka kushinda ubingwa wa ulaya na kuishinda Real Madrid katika makombe ya nyumbani, sifa zako pekee hazitotosha kuhakikishia namba.

Pogba anafahamika kama mmoja wa wanasoka bora duniani kwa sasa lakini mara tu atakapojiunga na Barcelona itampasa aanze kushindani namba na wachezaji wa daraja la juu duniani. Luis Enrique hatokuwa anachagua timu yake kutokana na historia au sifa za mchezaji. Akiwa ndio anaanza kuchipukia,  Paul Pogba alikuwa akikosa amani kwa kutopata nafasi ya kudumu katika kikosi cha kwanza cha Man United. Alex Ferguson aliamini Pogba ana kipaji kikubwa lakini aliona madhaifu yake ndio maana hakumuamini kiungo huyo kwa kumpa nafasi mara kwa mara. Pogba inabidi ajiandae kwa kugombea namba ikiwa atataka kuchezea katika vilabu vikubwa zaidi duniani. Inabidi aelewe kwamba kipaji pekee 

He has to understand that pure talent does not pick one player over the other.That brings me to my next point. Bleacher Report’s Jason Pettigrove recently wrote a piece addressing why Pogba would not fit into Barcelona’s tactical set up. And in many ways he was correct. While Barcelona have slightly shifted away from the tiki taka style, keyword slightly, it is still engraved in their play. Andres Iniesta is a prime example of a Barcelona midfielder. He’s agile, technically gifted, and plays short quick one twos before bursting into space. While Pogba is strong skill-wise, his skillset is not similar to the Barca mould of a midfielder. Pettigrove excellently described Pogba as an “aggressive, rampaging midfielder” who has a “lolloping style”. Now, some may say that every team needs a foil player, or one that has different strengths but compliments the other players well. Well, unfortunately for Paul Pogba, Barcelona have already signed that player, Ivan Rakitic. Pogba might well grow as a player to surpass Rakitic in his role at the Spanish club, but that will not happen overnight. Rakitic, while more similar to Pogba than any of Barca’s other midfielders, still has a different style than Pogba. Additionally, Barcelona already have both Andres Iniesta and Sergio Busquets. Both play key roles in their side and sacrificing either one of them would be detrimental to the team. Pogba would need to adapt his playing style to meet Barcelona’s demands. The France international would need take over a role in Barcelona’s midfield and that would require a change in style.
It is particularly odd that Barcelona would spend upwards of 80 million euros on a player who, currently does not fit into the team. Unless Barcelona are willing drop one of their excellent midfield trio that won the Champions League, it is hard see Pogba getting a real shot at the Catalan club. That compounded with Pogba’s restlessness when not playing week in, week out as well as his differing playing style to what Barcelona need, makes it even harder to see how Pogba will find a place. In truth, Barcelona will not change to account for Pogba’s needs like Juve. Juve’s entire setup is based around the French stallion as they try to get the best out of him. It is instead Pogba that will have to change himself in more ways than one.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here