Home Ligi EPL OZIL AWEKA REKODI MPYA EPL

OZIL AWEKA REKODI MPYA EPL

561
0
SHARE

Ozil 3

Mpika mabao wa Arsenal Mesut Ozil ameweka rekodi mpya katika Ligi Kuu nchini England (EPL) baada ya kutoa pasi za magoli katika michezo sita mfululizo.

Mjerumani huyo alitoa pasi ya goli kwa Kieran Gibbs katika mchezo wa jana dhidi ya Tottenham ulioisha kwa sare ya goli 1-1, mchezo uliopigwa kwe ye dimba la Emirates.

Ozil ameisaidiz Arsenal kushinda michezo mitano na kutoka sare mchezo mmoja katika michezo sita ya mwisho aliyocheza na kupelekea Arsenal kushika nafasi ya pili nyuma ya Man City wakizidiwa kwa tofauti ya mabao.

Ozil amekuwa mchezaji wa kwanza kutoa pasi 10 za magoli katika michezo 11 ya mwanzo ya Ligi Kuu nchini Enlgand.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here