Home Kimataifa BAADA YA KUCHEKI VIDEO, HIZI NI PICHA ZA TP MAZEMBE WALIVYOKUA KANISANI

BAADA YA KUCHEKI VIDEO, HIZI NI PICHA ZA TP MAZEMBE WALIVYOKUA KANISANI

826
0
SHARE

20151108001500

Baada ya mazoezi ya club ulifika muda wa misa maalum kanisani kwa ajili ya kuiombea neema club ya TP Mazembe. Hakuna mchezaji aliyelazimishwa kwenda kanisani kutokana na imani tofauti za wachezaji wa club hii lakini asilimia kubwa walienda kushiriki na wenzao.

Hizi ni picha nilizopata wakati misa inaendelea na viongozi na mmiliki wa club wote walikuwepo kwenye misa hiyo maalum.

20151108001416 20151108001424 20151108001426 20151108001429 20151108001433 (1) 20151108001433 20151108001448 (1) 20151108001448 20151108001453 20151108001457 20151108001500

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here