Home Ligi EPL STEVEN GERRARD AMEZUNGUMZA NA KLOPP KUHUSU KURUDI LIVERPOOL

STEVEN GERRARD AMEZUNGUMZA NA KLOPP KUHUSU KURUDI LIVERPOOL

676
0
SHARE

kloppdd

Gerrard na Klopp wamekutana kwenye mechi ya Liverpool Vs Crystal Palace na kufanya mazungumzo ya muda kidogo. Gerrard kwa sasa anacheza kwenye ligi ya Marekani na club ya LA Galaxy.

Ripoti zilozotelewa ni kwamba Gerrard anataka kurudi Liverpool sio tu kwenye training wakati ligi ya Marekani imesimama, hapana. Gerrard anaonekana kutaka zaidi.

Habari za uhakika zinasema kwamba Gerrard ameongea na Manager Klopp kwamba anaomba kuja kufanya mazoezi na timu wakati ligi ya Marekani imesimama.

Kuna uwezekano mkubwa Gerrard akajiunga na club hiyo kwa ajili ya mazoezi kipindi kijacho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here