Home Dauda TV VIDEO: KAMA HUKUIONA HAT-TRICK YA AJIB IANGALIE HAPA

VIDEO: KAMA HUKUIONA HAT-TRICK YA AJIB IANGALIE HAPA

2152
0
SHARE
Mwamuzi Alex Mahagi akimkabidhi mpira Ibrahim Ajib baada ya kufunga magoli matatu kwenye mechi kati ya Simba dhidi ya Majimaji FC

Ibrahib Ajib jana alipiga magoli matatu (hat-trick) wakati Simba inacheza dhidi ya Majimaji FC ya Songea kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara uliochezwa kwenye uwnja wa taifa jijini Dar es Salaam.

Hat-trick hiyo iliisaidia Simba kuibuka na ushindi mnono wa goli 6-1 na kufanikiwa kunyakua pointi tatu na kufikisha jumla ya pointi 21 kiwa nafasi ya nne kwa kutanguliwa na Mtibwa Sugar ambao wako nafasi ya tatu wakiwa na pointi 22 wakati Azam wao wako nafasi ya pili kwa pointi 22 wakisubiri mchezo wao wa leo dhidi ya Toto huku Yanga wakiwa nafasi ya kwanza kwa ponti 23 lakini kama Azam itashinda mchezo leo itakaa kileleni na Yanga itashuka hadi nafasi ya pili.

Angalia video ya baadhi ya magolin hapa chini ikiwa ni pamoja na magoli yote matatu ya Ibrahim Ajib.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here