Home Dauda TV CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM...

CHEKI HIGHLIGHTS ZA SAMATTA NA ULIMWENGU WAKIWA NA TP MAZEMBE Vs USM ALGER

482
0
SHARE

dsfs

Jana usiku TP Mazembe ilipata ushindi ugenini wakicheza dhidi ya USM Alger kwa matokeo ya 2-1. Sasa hivi wana kazi moja tu iliyobaki ili kushinda fainali. Mbwana Samatta alitupia goli moja na kufanikiwa kufikisha magoli 7 ambapo amekuwa mfungali bora akifunga na mchezaji mwingine.

Hiii ni highlight ya mechi yenyewe..

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here